Surat 'Abasa, aya 6

80:6

فَأَنتَ لَهُۥ تَصَدَّىٰ ٦

Fa anta lahū tasaddā

Wewe ndio unamshughulikia? 6

Maelezo ya chini

6 Wewe ndio unamkabili na unamshughulikia kumfikishia wito wako.