Surat 'Abasa, aya 5

80:5

أَمَّا مَنِ ٱسۡتَغۡنَىٰ ٥

Ammā manistaghnā

Ama ajionaye hana haja! 5

Maelezo ya chini

5 Ama yule anaye jiona ametosheka kwa mali yake na nguvu zake,