Surat 'Abasa, aya 7

80:7

وَمَا عَلَيۡكَ أَلَّا يَزَّكَّىٰ ٧

Wamā 'alayka allā yazzakkā

Na si juu yako kama hakutakasika. 7

Maelezo ya chini

7 Na wewe una lawama gani ikiwa yeye hakutakasika kwa Imani?