Wa nunazzilu minal-Qur'ani ma huwa shifa'

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

وَنُنَزِّلُ مِنَ ٱلۡقُرۡءَانِ مَا هُوَ شِفَآءٞ وَرَحۡمَةٞ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ وَلَا يَزِيدُ ٱلظَّٰلِمِينَ إِلَّا خَسَارٗا ٨٢

Wanunazzilu minal-qur'āni mā huwa shifā'un warahmatul lil-mu'minīna walā yazīduz-zālimīna illā khasārā

Na tunateremsha katika Qur'ani yaliyo ni matibabu na rehema kwa Waumini. Wala hayawazidishii madhaalimu ila khasara. 82

Maelezo ya chini

82 Na vipi Haki isiwe na nguvu na hali Sisi tunateremsha katika Qur'ani dawa ya kuponyesha maradhi ya shaka katika vifua vya watu, na sababu za kuwapatia rehema wanao iamini! Na madhaalimu hawana linao wazidia ila khasara tu kwa kuikataa kwao.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Al-Isra yote

Maswali

Wa nunazzilu minal-Qur'ani ma huwa shifa' iko wapi katika Qur'ani?

Wa nunazzilu minal-Qur'ani ma huwa shifa' iko katika Surat Al-Isra, 17:82.