Wa la taqrabuz-zina

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

وَلَا تَقۡرَبُواْ ٱلزِّنَىٰٓۖ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةٗ وَسَآءَ سَبِيلٗا ٣٢

Walā taqrabuz-zinā innahū kāna fāhishatan wasā'a sabīlā

Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. 32

Maelezo ya chini

32 Wala msiukaribie uzinzi, kwa kuziingilia sababu zinazo pelekea uzinzi. Jambo hilo ni jambo la aibu na uovu usio fichikana, na hapana njia mbovu kama hiyo.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Al-Isra yote

Maswali

Wa la taqrabuz-zina iko wapi katika Qur'ani?

Wa la taqrabuz-zina iko katika Surat Al-Isra, 17:32.