وَشَدَدۡنَا مُلۡكَهُۥ وَءَاتَيۡنَٰهُ ٱلۡحِكۡمَةَ وَفَصۡلَ ٱلۡخِطَابِ ٢٠
Washadadnā mulkahū wa ātaynāhul-hikmata wafaslal-khitāb
Na tukautia nguvu ufalme wake, na tukampa hikima, na kukata hukumu. 20
Maelezo ya chini
20 Tukautia nguvu ufalme wake, na tukampa Unabii na kupambanua baina ya Haki na baat'ili.