Surat Sad, aya 21

38:21

۞ وَهَلۡ أَتَىٰكَ نَبَؤُاْ ٱلۡخَصۡمِ إِذۡ تَسَوَّرُواْ ٱلۡمِحۡرَابَ ٢١

Wahal atāka naba'ul-khasmi idh tasawwarul-mihrāb

Na je! Imekufikia khabari ya wagombanao walipo pindukia ukuta kuingia chumbani? 21

Maelezo ya chini

21 Ewe Muhammad! Ati imekujia khabari ya makhasimu wagombanao, walio mjia Daudi kwa kupindukia kuta za mihrabuni palipo kuwa pahala pake pa ibada? Hawakupita mlangoni.