Rabbana afrigh 'alayna sabra

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

وَلَمَّا بَرَزُواْ لِجَالُوتَ وَجُنُودِهِۦ قَالُواْ رَبَّنَآ أَفۡرِغۡ عَلَيۡنَا صَبۡرٗا وَثَبِّتۡ أَقۡدَامَنَا وَٱنصُرۡنَا عَلَى ٱلۡقَوۡمِ ٱلۡكَٰفِرِينَ ٢٥٠

Walammā barazū lijālūta wajunūdihī qālū rabbanā afrigh 'alaynā sabran wathabbit aqdāmanā wansurnā 'alal-qawmil-kāfirīn

Na walipo toka kupambana na Jaluti na majeshi yake walisema: Mola wetu Mlezi! Tumiminie subira, na isimamishe imara miguu yetu, na utusaidie tuwashinde watu Makafiri. 250

Maelezo ya chini

250 Waumini walipo songa kupigana na Jaluti na jeshi lake walimwelekea Mwenyezi Mungu wakamnyenyekea na kumwomba awajaze subira, awatie nguvu azma zao, naawaweke imara katika uwanja wa vita, na awape ushindi juu ya maadui zao makafiri.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Al-Baqarah yote

Maswali

Rabbana afrigh 'alayna sabra iko wapi katika Qur'ani?

Rabbana afrigh 'alayna sabra iko katika Surat Al-Baqarah, 2:250.