وَقَدۡ خَلَقَكُمۡ أَطۡوَارًا ١٤
Waqad khalaqakum atwārā
Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja? 14
Maelezo ya chini
14 Na hali Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa madaraja, tangu tone ya manii, kisha pande la damu, kisha pande la nyama, kisha mafupa na nyama?