مَّا لَكُمۡ لَا تَرۡجُونَ لِلَّهِ وَقَارٗا ١٣
Mmā lakum lā tarjūna lillāhi waqārā
Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu? 13
Maelezo ya chini
13 Mna nini nyinyi hata hamumtukuzi Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kutukuzwa, ili mtaraji akukirimuni kwa kukuokoeni na adhabu,