فَوَيۡلٞ لِّلَّذِينَ كَفَرُواْ مِن يَوۡمِهِمُ ٱلَّذِي يُوعَدُونَ ٦٠
Fawaylul lilladhīna kafarū min yawmihimul-ladhī yū'adūn
Ole wao walio ikanusha siku yao waliyo ahidiwa. 60
Maelezo ya chini
60 Basi maangamio yatawapata wenye kuikataa siku yao waliyo ahidiwa, kwa sababu ya shida na vitisho viliomo katika siku hiyo.