Surat At-Tawbah, aya 10

9:10

لَا يَرۡقُبُونَ فِي مُؤۡمِنٍ إِلّٗا وَلَا ذِمَّةٗۚ وَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡمُعۡتَدُونَ ١٠

Lā yarqubūna fī mu'minin illan walā dhimmatan wa ulā'ika humul-mu'tadūn

Hawatazami kwa Muumini udugu wala ahadi; basi hao ndio warukao mipaka. 10

Maelezo ya chini

10 Hiyo ndiyo hali ya ukafiri wao. Hawahishimu ujamaa wala ahadi katika kuamiliana na Muumini. Shani ya watu kama hao ni kufanya uadui tu. Hayo ndiyo maradhi yao yasio wabanduka!