ٱشۡتَرَوۡاْ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ ثَمَنٗا قَلِيلٗا فَصَدُّواْ عَن سَبِيلِهِۦٓۚ إِنَّهُمۡ سَآءَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ٩
Ishtaraw bi'āyātillāhi thamanan qalīlan fasaddū 'an sabīlihī innahum sā'a mā kānū ya'malūn
Wamenunua thamani ndogo kwa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakazuilia watu na Njia yake. Hakika hao ni maovu waliyo kuwa wakiyatenda. 9
Maelezo ya chini
9 Wamezitupa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakazibadilisha hizo kwa machache yasiyo dumu ya kidunia, na wakazuia watu wasiingie katika Dini ya Mwenyezi Mungu. Hakika wafanyayo watu hawa ni mabaya!