Surat At-Tawbah, aya 11

9:11

فَإِن تَابُواْ وَأَقَامُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتَوُاْ ٱلزَّكَوٰةَ فَإِخۡوَٰنُكُمۡ فِي ٱلدِّينِۗ وَنُفَصِّلُ ٱلۡأٓيَٰتِ لِقَوۡمٖ يَعۡلَمُونَ ١١

Fa in tābū wa aqāmus-salawāta wa ātawuz-zakawāta fa ikhwānukum fid-dīni wanufassilul-āyāti liqawmin ya'lamūn

Basi wakitubu na wakashika Swala na wakatoa Zaka, basi ni ndugu zenu katika Dini. Na tunazichambua Aya kwa watu wajuao. 11

Maelezo ya chini

11 Wakitubia, wakaacha ukafiri wao, na wakashika hukumu za Uislamu, kwa kushika Swala, na kutoa Zaka, basi wanakuwa ni ndugu zenu katika Dini. Haki yao kama haki yenu. Jukumu lao kama jukumu lenu. Na Mwenyezi Mungu anazibainisha Aya hizi kwa watu wanao nafiika na ilimu.