Surat At-Takwir, aya 26

81:26

فَأَيۡنَ تَذۡهَبُونَ ٢٦

Fa ayna tadhhabūn

Basi mnakwenda wapi? 26

Maelezo ya chini

26 Basi njia gani iliyo ya uwongofu zaidi kuliko hii mnayo ifuata?