Surat Al-'Asr, aya 1

103:1

وَٱلۡعَصۡرِ ١

Wal-'asr

Naapa kwa Zama! 1

Maelezo ya chini

1 Naapa kwa Zama kwa sababu ya maajabu mengi na mazingatio yaliomo ndani yake.