مَن كَانَ يُرِيدُ حَرۡثَ ٱلۡأٓخِرَةِ نَزِدۡ لَهُۥ فِي حَرۡثِهِۦۖ وَمَن كَانَ يُرِيدُ حَرۡثَ ٱلدُّنۡيَا نُؤۡتِهِۦ مِنۡهَا وَمَا لَهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِن نَّصِيبٍ ٢٠
Man kāna yurīdu harthal-ākhirati nazid lahū fī harthihī waman kāna yurīdu harthad-dunyā nu'tihī minhā wamā lahū fil-ākhirati min nasīb
Mwenye kutaka mavuno ya Akhera tutamzidishia katika mavuno yake, na mwenye kutaka mavuno ya duniani tutampa katika hayo, lakini katika Akhera hana fungu. 20
Maelezo ya chini
20 Mwenye kutaka kulipwa kwa a'mali yake thawabu za Akhera atalipwa mara mbili ujira wake. Na mwenye kutaka kwa a'mali yake starehe ya dunia tu, basi tutampa fungu lake hilo, na huko Akhera hatakuwa na fungu lolote la thawabu.