ٱللَّهُ لَطِيفُۢ بِعِبَادِهِۦ يَرۡزُقُ مَن يَشَآءُۖ وَهُوَ ٱلۡقَوِيُّ ٱلۡعَزِيزُ ١٩
Allāhu latīfu bi'ibādihī yarzuqu man yashā'u wahuwal-qawiyyul-'azīz
Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake. Humruzuku ampendaye. Naye ni Mwenye nguvu, Mtukufu. 19
Maelezo ya chini
19 Mwenyezi Mungu, ni mkuu wa kuwafanyia wema waja wake wote. Huwaruzuku awatakao kama anavyo taka. Naye ni Mwenye kushinda kila kitu, Mwenye nguvu asiye shindika.