ٱللَّهُ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ ٱلۡكِتَٰبَ بِٱلۡحَقِّ وَٱلۡمِيزَانَۗ وَمَا يُدۡرِيكَ لَعَلَّ ٱلسَّاعَةَ قَرِيبٞ ١٧
Allāhul-ladhī anzalal-kitāba bil-haqqi wal-mīzāna wamā yudrīka la'allas-sā'ata qarīb
Mwenyezi Mungu ndiye aliye teremsha Kitabu kwa Haki, na Mizani. Na nini kitakacho kujuulisha ya kwamba pengine Saa ya Kiyama ipo karibu? 17
Maelezo ya chini
17 Mwenyezi Mungu ndiye aliye teremsha Kitabu cha Muhammad na viliyo kuwa kabla yake katika Vitabu vya Mitume, vyenye kukusanya Haki na uadilifu. Na nini cha kukujuvya, pengine wakati wa Saa ya Kiyama ipo karibu na wewe hujui.