وَٱلَّذِينَ يُحَآجُّونَ فِي ٱللَّهِ مِنۢ بَعۡدِ مَا ٱسۡتُجِيبَ لَهُۥ حُجَّتُهُمۡ دَاحِضَةٌ عِندَ رَبِّهِمۡ وَعَلَيۡهِمۡ غَضَبٞ وَلَهُمۡ عَذَابٞ شَدِيدٌ ١٦
Walladhīna yuhājjūna fillāhi mim ba'di mastujība lahū hujjatuhum dāhidatun 'inda rabbihim wa'alayhim ghadabun walahum 'adhābun shadīd
Na wanao hojiana juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kukubaliwa, hoja za hawa ni baat'ili mbele ya Mola wao Mlezi, na juu yao ipo ghadhabu, na itakuwa kwao adhabu kali. 16
Maelezo ya chini
16 Na hao wanao bisha katika mambo yaliyo khusu Dini ya Mwenyezi Mungu, baada ya watu kwisha uitikia Wito ulio wazi, ubishani wa watu hawa wenye shaka shaka ni baat'ili mbele ya Mola wao Mlezi. Na juu yao ipo ghadhabu kali kwa ukafiri wao. Na adhabu chungu inawangojea.