Surat Ash-Shu'ara, aya 83

26:83

رَبِّ هَبۡ لِي حُكۡمٗا وَأَلۡحِقۡنِي بِٱلصَّٰلِحِينَ ٨٣

Rabbi hab lī hukman wa alhiqnī bis-sālihīn

Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema. 83

Maelezo ya chini

83 Ibrahim a.s. akasema kwa kuomba: Mola wangu Mlezi! Nitunukie ukamilifu wa ilimu na vitendo, ili nipate kustahili kuubeba Ujumbe wako na hukummu kwa waja wako, na niwezeshe niungane pamoja na kundi la watendao wema.