Surat Ash-Shu'ara, aya 84

26:84

وَٱجۡعَل لِّي لِسَانَ صِدۡقٖ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ٨٤

Waj'al lī lisāna sidqin fil-ākhirīn

Na unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye. 84

Maelezo ya chini

84 Na nijaalie nipate sifa nzuri na kumbusho jema kwa kaumu zitazo kuja baada yangu, mabaki yake yasalie mpaka Siku ya Kiyama.