وَٱلَّذِيٓ أَطۡمَعُ أَن يَغۡفِرَ لِي خَطِيٓـَٔتِي يَوۡمَ ٱلدِّينِ ٨٢
Walladhī atma'u an yaghfira lī khatī'atī yawmad-dīn
Na ambaye ndiye ninaye mtumai kunisamehe makosa yangu Siku ya Malipo. 82
Maelezo ya chini
82 Na Yeye ndiye ninaye mtumai kunighufiria na kuyasemehe makosa yangu madogo madogo ya kujikwaa duniani, utapo fika wakati wa hisabu.