Surat Ash-Shu'ara, aya 81

26:81

وَٱلَّذِي يُمِيتُنِي ثُمَّ يُحۡيِينِ ٨١

Walladhī yumītunī thumma yuhyīn

Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha. 81

Maelezo ya chini

81 Na Yeye ndiye atanifisha ikifika ajali yangu, na tena atanihuisha mara nyengine kwa ajili ya hisabu na malipo.