وَإِذَا مَرِضۡتُ فَهُوَ يَشۡفِينِ ٨٠
Wa idhā maridtu fahuwa yashfīn
Na ninapo ugua ni Yeye ndiye anaye niponesha. 80
Maelezo ya chini
80 Na yakinishukia maradhi ni Yeye ndiye anaye niponesha, kwa kunisahilishia sababu za kupona na kuniwezesha kuzipata.