Surat Ash-Shu'ara, aya 79

26:79

وَٱلَّذِي هُوَ يُطۡعِمُنِي وَيَسۡقِينِ ٧٩

Walladhī huwa yut'imunī wayasqīn

Na ambaye ndiye ananilisha na kuninywesha. 79

Maelezo ya chini

79 Na Yeye ndiye aliye nineemesha kwa vyakula na vinywaji, na akaniwezesha kuvipata na kunafiika kwavyo, ili kuhifadhi uhai wangu.