Surat Ash-Shu'ara, aya 75

26:75

قَالَ أَفَرَءَيۡتُم مَّا كُنتُمۡ تَعۡبُدُونَ ٧٥

Qāla afara'aytum mā kuntum ta'budūn

Je! Mmewaona hawa mnao waabudu- 75

Maelezo ya chini

75 Ibrahim akasema kwa kuwasusuika: Je! Mlifikiri hata mkalijua jambo lolote lilio kupelekeeni kudumu na kuyaabudu hayo masanamu?