قَالُواْ بَلۡ وَجَدۡنَآ ءَابَآءَنَا كَذَٰلِكَ يَفۡعَلُونَ ٧٤
Qālū bal wajadnā ābā'anā kadhālika yaf'alūn
Wakasema: Bali tumewakuta baba zetu wakifanya hivyo hivyo. 74
Maelezo ya chini
74 Wakasema: Hawafanyi lolote katika hayo. Lakini sisi tumewakuta baba zetu wakiyaabudu mfano wa ibada yetu. Basi sisi tukawafwata kwa waliyo kuwa wakiyafanya.