Surat Ash-Shu'ara, aya 76

26:76

أَنتُمۡ وَءَابَآؤُكُمُ ٱلۡأَقۡدَمُونَ ٧٦

Antum wa ābā'ukumul-aqdamūn

Nyinyi na baba zenu wa zamani? 76

Maelezo ya chini

76 Nyinyi na baba zenu wa zamani - ati haya yanastahiki kuabudiwa au la? Lau mngeli zingatia mngeli jua kuwa hakika nyinyi mko katika upotovu ulio wazi.