إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ٦٧
Inna fī dhālika la'āyatan wamā kāna aktharuhum mu'minīn
Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si katika wenye kuamini. 67
Maelezo ya chini
67 Hakika katika vituko hivi vya ajabu vya kiungu pana funzo la kuzingatia kwa atakaye kunafiika. Lakini watu wengi si wenye kusadiki.