ثُمَّ أَغۡرَقۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ٦٦
Thumma aghraqnal-ākharīn
Kisha tukawazamisha hao wengine. 66
Maelezo ya chini
66 Kisha tukamzamisha Firauni pamoja na walio kuwa pamoja naye kwa kuwafudikiza kwa maji pale walipo wafuata.