Surat Ash-Shu'ara, aya 68

26:68

وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ٦٨

Wa inna rabbaka lahuwal-'azīzur-rahīm

Na kwa hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 68

Maelezo ya chini

68 Hakika Muumba wako na Mlezi wako ndiye huyo Mwenye nguvu katika kuwaadhibu wanao kanusha, Mwenye kuwaneemesha kwa rehema Waumini.