Surat Ash-Shu'ara, aya 3

26:3

لَعَلَّكَ بَٰخِعٞ نَّفۡسَكَ أَلَّا يَكُونُواْ مُؤۡمِنِينَ ٣

La'allaka bākhi'un nafsaka allā yakūnū mu'minīn

Huenda labda ukajikera nafsi yako kwa kuwa hawawi Waumini. 3

Maelezo ya chini

3 Ewe Nabii! Hebu jionee huruma nafsi yako. Usijikere kwa kuhuzunukia inadi ya watu wako, na kuto amini kwao.