تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ٢
Tilka āyātul-kitābil-mubīn
Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha. 2
Maelezo ya chini
2 Maneno haya niliyo kufunulia ni Aya za Kitabu chenye kuweka wazi hukumu zote ziliomo ndani yake.