Surat Ash-Shu'ara, aya 215

26:215

وَٱخۡفِضۡ جَنَاحَكَ لِمَنِ ٱتَّبَعَكَ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ٢١٥

Wakhfid janāhaka limanit-taba'aka minal-mu'minīn

Na watwae kwa upole wanao kufuata miongoni mwa Waumini. 215

Maelezo ya chini

215 Na kuwa mpole kwa wanao itikia wito wako wa Imani.