فَإِنۡ عَصَوۡكَ فَقُلۡ إِنِّي بَرِيٓءٞ مِّمَّا تَعۡمَلُونَ ٢١٦
Fa in 'asawka faqul innī barī'um mimmā ta'malūn
Na ikiwa watakuasi basi sema: Mimi najitenga mbali na hayo mnayo yatenda. 216
Maelezo ya chini
216 Pindi wakikuasi na wasikufuate basi jitenge nao, na jitenge na vitendo vyao vya ushirikina na maasi yote.