Surat Ash-Shu'ara, aya 214

26:214

وَأَنذِرۡ عَشِيرَتَكَ ٱلۡأَقۡرَبِينَ ٢١٤

Wa andhir 'ashīratakal-aqrabīn

Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe. 214

Maelezo ya chini

214 Watie khofu ya adhabu ya shirki na maasi walio karibu nawe katika jamaa zako.