إِلَّا عَجُوزٗا فِي ٱلۡغَٰبِرِينَ ١٧١
Illā 'ajūzan fil-ghābirīn
Isipo kuwa kikongwe katika walio kaa nyuma. 171
Maelezo ya chini
171 Ila mkewe kizee aliye baki, na hakutoka nao. Yeye akaangamia kwa kufuru zake na ukhaini wake, kwa kuwaunga mkono wakosefu.