Surat Ash-Shu'ara, aya 172

26:172

ثُمَّ دَمَّرۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ١٧٢

Thumma dammarnal-ākharīn

Kisha tukawaangamiza wale wengine. 172

Maelezo ya chini

172 Kisha Mwenyezi Mungu akawahiliki makafiri watendao uovu kwa hilaki kali na mbaya.