إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ١٠٣
Inna fī dhālika la'āyatan wamā kāna aktharuhum mu'minīn
Hakika katika haya ipo Ishara, lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini. 103
Maelezo ya chini
103 Na hakika katika khabari za Ibrahim zilizo tajwa yapo mawaidha na mazingatio kwa mwenye kutaka mawaidha na akazingatia. Na wala si wengi katika watu wako wanao somewa khabari hizi wenye kuitikia wito wako.