وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ١٠٤
Wa inna rabbaka lahuwal-'azīzur-rahīm
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 104
Maelezo ya chini
104 Na hakika hapana shaka Mola wako Mlezi ni Muweza wa kuwaadhibu wanao kadhibisha, naye ni Mfadhili wa watu wema kwa neema nyingi.