Surat Ash-Shu'ara, aya 102

26:102

فَلَوۡ أَنَّ لَنَا كَرَّةٗ فَنَكُونَ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ١٠٢

Falaw anna lanā karratan fanakūna minal-mu'minīn

Laiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini. 102

Maelezo ya chini

102 Basi hapo ndio wanajitamania nafsi zao lau wangeli rejea duniani wapate kuwa Waumini ili waokoke.