Surat Ash-Shu'ara, aya 101

26:101

وَلَا صَدِيقٍ حَمِيمٖ ١٠١

Walā sadīqin hamīm

Wala rafiki wa dhati. 101

Maelezo ya chini

101 Wala hapana rafiki wa kuwaonea uchungu kwa hali yao, licha ya kuwaokoa.