Surat Ash-Shu'ara, aya 100

26:100

فَمَا لَنَا مِن شَٰفِعِينَ ١٠٠

Famā lanā min shāfi'īn

Basi hatuna waombezi. 100

Maelezo ya chini

100 Basi hapana wa kuombwa akaja kutuvua na adhabu hii kama tulivyo dhania pale kwanza.