قَدۡ أَفۡلَحَ مَن زَكَّىٰهَا ٩
Qad aflaha man zakkāhā
Hakika amefanikiwa aliye itakasa! 9
Maelezo ya chini
9 Hakika amefuzu mwenye kuisafisha nafsi yake kwa ut'iifu na vitendo vya kheri.
قَدۡ أَفۡلَحَ مَن زَكَّىٰهَا ٩
Qad aflaha man zakkāhā
Hakika amefanikiwa aliye itakasa! 9
9 Hakika amefuzu mwenye kuisafisha nafsi yake kwa ut'iifu na vitendo vya kheri.