Surat Ash-Shams, aya 10

91:10

وَقَدۡ خَابَ مَن دَسَّىٰهَا ١٠

Waqad khāba man dassāhā

Na hakika amekhasiri aliye iviza. 10

Maelezo ya chini

10 Na hakika amekhasiri mwenye kuzificha fadhila zake, na akayaua matayarisho aliyo umbwa nayo ya kutenda kheri.