Surat As-Saffat, aya 3

37:3

فَٱلتَّٰلِيَٰتِ ذِكۡرًا ٣

Fat-tāliyāti dhikrā

Na kwa wenye kusoma Ukumbusho. 3

Maelezo ya chini

3 Na kwa wenye kusoma Aya, na wanamdhukuru Mwenyezi Mungu kwa dhikri ya Tasbihi, Kumtakasa, na Kumhimidi, kumsifu.