Surat As-Saffat, aya 4

37:4

إِنَّ إِلَٰهَكُمۡ لَوَٰحِدٞ ٤

Inna ilāhakum lawāhid

Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja. 4

Maelezo ya chini

4 Hakika Mungu wenu anaye faa kuabudiwa bila ya shaka ni Mmoja tu. Hana mshirika wake, kwa dhati, wala kitendo, wala sifa.