Surat As-Saffat, aya 28

37:28

قَالُوٓاْ إِنَّكُمۡ كُنتُمۡ تَأۡتُونَنَا عَنِ ٱلۡيَمِينِ ٢٨

Qālū innakum kuntum ta'tūnanā 'anil-yamīn

Watasema: Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia upande wa kulia. 28

Maelezo ya chini

28 Wanyonge watawaambia walio jipa ukubwa: Nyinyi mlikuwa mkitujia upande tulio udhania ni wa kheri na mafanikio, ili mtugeuze njia tuache Haki twende kwenye upotovu.