وَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَسَآءَلُونَ ٢٧
Wa aqbala ba'duhum 'alā ba'din yatasā'alūn
Watakabiliana wao kwa wao kuulizana. 27
Maelezo ya chini
27 Watakuwa wakikabiliana kulaumiana na kusutana, na wakiulizana khabari za mwisho wao muovu.